ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,534
1: 93% ya wamerakani wanakula pizza kila mwezi angalau kwa wastani Mara moja na kufanya kuwa chakula ki nachopendwa zaidi huko
2: Kuna chemikali zaidi ya 1000 kwenye kikombe cha kawaha na Kati ya hizo ni 23 tu ndo zimepimwa na ni salama na 500 zimebainika zona uwezo wa kusababisha kansa kwa kwa panya
3: Kunywa kikombe cha kahawa muda wa 3:30 asubuhi mpaka sa 5:00 kunaifanya iwe active zaidi kuliko muda wowote ule
4: Kijiko kimoja cha asali ni kazi ya chuki 12
5: Asali haiozi na Ina uwezo wa kukaa miaka 3000 bila kubadilika chochote
6: CHOCOLATE YA RANGI YA BROWN INA KEMIKALI FULANI NAYOITWA KITAALAMU PHENLETHYLAMINE SASA AJABU CHEMICAL HII NI CHEMICAL AMBAYO HOMONI ZA BINADAMU HUZALISHA ZENYEWE PINDI BINADAMU ANAPOANZA KUHISI KUMPENDA FULANI... hahaha kwa hio kama unahisi hujawahi kupenda kula Sana chocolate
7: Kula chocolate pia kunaongeza uwezo wa hesabu
8: Utafiti wa kisayansi pia umeonyesha pasina shaka kuwa kula chocolate kabla ya kusoma au kupiga mtihani basi kunaongeza Sana ufanisi
9: MacDonald's kwampuni na familia tajiri Sana marekani iliyopata pesa kwa mauzo ya pizza kwa sasa inapitwa kumiliki migahawa na kampuni ya Subway kwani subway inafanya vizuri na kwa kila masaa mawili inafungua mgahawa mmoja Duniani maana yake kwa wastani huo migahawa ya subway 12 maeneo mbalimbal duniani
10: Kumbe peanut butter ikichomwa bila kuruhusu oxygen kuingilia Kati reaction yake halafu ikafanyika kwenye mgandamizo mkubwa very high high pressure basi inaweza ikabadilika na kuwa material ya diamond(almasi)..89% pure ya almasi
11: Kumbe hizi karoti rangi take ya mwanzo ilikuwa ni zambaràu lakini kutokana na michezo ya kibiologia mliosoma mambo ya genetics mnajua namna wanavoziunganisha genes basi ndo ikatokea karoti mpya ya sasa ya ranging ya machungwa ikaoteshwa na ndo ikakua na kusambaa zaidi ni kuanzia karne ya 17
12: Kuna kemikali moja ya siri inawekwa kwenye coca cola soda
13: Asili ya fanta ni hii.wanajeshi wa kinazi chin ya Adolph hillter waliishiwa syrup hivo wakaomba kampuni ya coca cola iwatengenezee alternative na ndipo wakaletewa fanta ikawa tamu hadi leo kama tunavoiona na kuinywa
14: Nazi ndogo is iyokomaa Ina chemikali Fulani ambayo endapo chembechembe za damu zikiondolewa inaweza kuwekwa yenyewe na ukaendelea kudunda na maisha kama kawaida
15: Chai nyeusi inazuia mapafu na madhara ya moshi wa sigara
16: Wakanada wanakunywa Sana soda idadi yake NCHI nzma ni kwa wastani MTU mmoja hunywa soda 600 kwa mwaka
17: Kuna mgahawa japani wahudumu wake ni nyani
18: Ukitafuna big G huku unamenya kitunguu basi inaweza ikasaidia Sana usilie (ni usitoe machozi)
19: Cream usiione kama ni nzito vile kumbe ukiilinganisha na maziwa kwenye ujazo mmoja basi maziwa ndo yanakuwa na ujazo mkubwa zaidi
20: KUMBE HARUFU TU NDIZI NA YALE MA APPLE YA KIJANI YANAPUNGUZA UZITO kwenye MWILI (HARUFU TU BILA KUYALA YENYEWE)
21: UNAWEZA UKA SURVIVE MAISHA YAKO YOTE KWA KULA VIAZI NA KARANGA AU KOROSHO TU..YAANI KIFUPI VIRUTUBISHO VYOTE MUHIMU KWA MWILI VINAPATIKANA KUPITIA VYAKULA HVYO
22: Unaweza ukaishi kwa week hata mbili bila kula lakini huwezi ukaishi kwa siku 11 bila kulala
23: Ndizi mbili zina nguvu amabazo ukila basi utafanya kazi bila kupumzika kwa masaa mawili
24: Strawberry ni tunda pekee lenye mbegu nje
25: Bon job amefungua mgahawa huko new Jersey ambapo UNAWEZA kwenda kula chochote na usilipie hela Bali unachofanya ni kuwapa kitu chochote chenye thamani mnakuwa kama mmebadilishana..mfano unakula hio huduma kulipia UNAWEZA kuvua hata SAA ukawapa afu we ukaondoka