East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Je unazijua namba za matapeli? Zibandike hapa ukieleza utapeli wao unahusika na nini ili wana jamii forums wajiepushe nao na vyombo husika vipate taarifa vishughulike nao.Karibuni.
Wana mbinu mbali mbali wanazotumia,mmoja wapo Joseph sanga(0686112313)