Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,889
- 18,836
Wakati mwingine kumtajia mtu jina na akakusikia vizuri ni kazi sana. Mara nyingi anaweza kukosea kuandika jina lako sababu hakusikia vizuri. Hivyo watu walikuja na phonetic alphabet ambazo msikiaji anaelewa wazi wazi herufi inayotamkwa. Kuna haja ya kuja na phonetic alphabet za kiswahili au abechede yetu inafanya kazi vizuri kabisa?