Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 424
- 1,045
Vijana mnapotoka kwa kufuata makuli ,narudia mimi miaka 5 iliyopita nilikuwa nguli kwenye uchawi asije akatokea mwanadamu ama kuimbe kikakudanganya ukamuacha kristo yesu
ππππππmtakatifu kinyeo π€© nakuzoom tuuu
Uongoo π π π πVijana mnapotoka kwa kufuata makuli ,narudia mimi miaka 5 iliyopita nilikuwa nguli kwenye uchawi asije akatokea mwanadamu ama kuimbe kikakudanganya ukamuacha kristo yesu
Cha kushangaza hiyo mizimu ikisikia tu jina la Yesu likiitiwa kwa imani na Mtu yeyote hurudi kuzimu kwa vilio vya kusaga meno speed 180Vijana mnapotoka kwa kufuata makuli ,narudia mimi miaka 5 iliyopita nilikuwa nguli kwenye uchawi asije akatokea mwanadamu ama kuimbe kikakudanganya ukamuacha kristo yesu
Nakwambia from experience kuloga nimeloga ,kuagua nimeagua yaani ni bora ata wakuue usimuache kristoumedanganyika mkuu bora unge baki kwenye uchawi wenye matokeo yanayoonekana...!
Ukweli ni upi ?? Shida ni kwamba mnapenda ukweli mnaamini uongoUongoo π π π π