Mkuu kwa ninavyofahamu Hdd hazijaingiliwa na hawa wachina, almost zote ni Og.
Sema kkoo zipo refurbished za kutosha, unauziwa HDD kumbe imeshatumika miaka 10 iliopita,
Kama unataka Mpya kabisa Angalia Mjini Freedom computers kuna kipindi niliona WD black 1TB kama 150k.
Na HDD zote zenye failure rate ndogo kabisa ni za Hitachi, na hawa jamaa hawauzi reja reja wanauzia tu makampuni yanayotengeneza laptop, njia nyengine ni kuzisaka hizi za hitachi kwa mafundi computer na ndugu jamaa na marafiki.