Unawezaje kuongoza hisia?

Unawezaje kuongoza hisia?

Amanikwanzaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
229
Reaction score
435
Nawasalimia,

Kama tunavyojua katika familia zetu hasa kwa wale walio wawili katika mwili mmoja, asubuhi hii, nimefanyiwa kituko na mwenzangu nikahisi kuwa na hasira mno, nikajaribu kujiongoza kwa kujiambia nimefanyiwa vizuri sana (badala ya tukio baya) sasa nina amani.

Nimetamani kuishi mfumo huu, mwenye uzoefu wa hii kitu asaidie tafadhari.
 
Fanya meditation mkuu.
 
Avoid expectation jitafute ndani na sio nje Soma Sana vitabu
 
kuongoza hisia ni darasa kubwa mno....but watu wanaoweza kutawala hisia zao huwa wanazaliwa natural wako hivyo kwahiyo ata wakisoma vitabu wanaongezea kile walichonacho....ila kama wewe ni umezaliwa ukiwa hivyo emotional creature hata uki train hauwezi fikia ile level ya kuongoza hisia to the maximum...kwahiyo kabla haujatafuta jinsi gani unaweza kuziongoza hisia kwanza jitafute wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom