Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Mathew 18:21 Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?” 22 Yesu akamjibu, “Sikuambii mara saba, bali saba mara sabini.”
Kumbe unaamini maandiko matakatifu.
 
Nimemuokota kivipi!??
Sababu nimeitoa hapo juu. Yaani hukuwepo nyumbani, hujamfuma umesikia kwa majirani na evidence chache ulizozikuta ndani. Hazitoshi mimi kukubali nimekucheat. Nagoma nalamba moto.

Huyo mumeo kukubali katika mazingira kama hayo unapata mmoja kati ya 100M. Ndio maana nimesema umemuokota. Ni nadra sana kukutana na mwanaume wa aina hiyo. Na ukute aliyemla ni jirani yako au rafiki anayetaka kupindua meza. Hao wana mbinu nyingi za kuvunja ndoa na wako tayari kufanya sehemu ambako kutakuwa na ushahidi ili wakukomeshe
 
Yani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhizi
Hujakutana na mengi alafu uyoo mmeo ni kiazi kweli ivi wanaume kweli tupo au ndyoo tunakaribia kuisha? anyway kama hujavuka miaka 29 au 28 au 27 vunja iyoo ndoa sababu ata wewe unaakili za kitoto nawaza Mimi apa nilipo kwamba wazazi wenu, marafiki wataweka kikao Kwa sababu ya kitoto kama iyoo ili msiachane
 
Sababu nimeitoa hapo juu. Yaani hukuwepo nyumbani, hujamfuma umesikia kwa majirani na evidence chache ulizozikuta ndani. Hazitoshi mimi kukubali nimekucheat. Nagoma nalamba moto.

Huyo mumeo kukubali katika mazingira kama hayo unapata mmoja kati ya 100M. Ndio maana nimesema umemuokota. Ni nadra sana kukutana na mwanaume wa aina hiyo. Na ukute aliyemla ni jirani yako au rafiki anayetaka kupindua meza. Hao wana mbinu nyingi za kuvunja ndoa na wako tayari kufanya sehemu ambako kutakuwa na ushahidi ili wakukomeshe
Evidence zinatosha kabisa nyingine sijazisema tu na mbaya zaidi siku nimefika tu huyo mwanamke siku kama ya 3 alikuja Akanikuta nje ya nyumba napika huku nimevaa shati la bwanaetu niseme . Aliponiona alishtuka sana kaniangaliaaaaa hajasema kitu akaondoka .
 
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Mwanaume hakubali kosa la kipuuzi ivyoo uyoo mmeo ni kiazi wa head unakubali kosa wakati hajakukuta vunja ndoa iyoo tuongeze idadi ya masingle Maza mtaani uku labda Una kazi na unajiweza Ila ukivunja iyoo ndoa jiandae kisaikolojia kabisaa
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934

Pole sana.
Mumeo kafanya makosa mawili ya kiufundi ambayo mwanaume mwenye familia hatakiwi kufanya.

1. Ni kumleta mchepuko nyumbani kwako na hata kumchakata kitandani mwenu. Hii ni dharau ya kiwango cha juu kwa familia na siyo mke pekee.
Sisi wanaume ni wadhaifu sana ikifika kwenye suala la mikia ya wanawake ila, heshima ya familia ni muhimu kuliko utamu wa mchepuko wa masaa machache.

2. Kitendo cha kukiri kumchakata mwanamke mwingine ni dhambi ambayo mwanaume hatakiwi kulifanya. Hata kama ukikutwa kifuani mwa mwanamke mwingine live, hakuna kukiri. Hii ni suala la kisaikolojia kama unavyoona hapa, mumeo alikiri kumchakata mwenzio, japo unajaribu kumsamehe, bado unapata hisia hasi ukivuta picha ya mumeo kitandani na mwanamke mwingine unakuta unapoteza hisia.

Mwisho: wanaume wengi tuna michepuko tena wengi ila inategemea mtu anavyocheza karata zake. Binafsi nilijaribu sana huu mchezo ila baadae nikaona najitesa, nikaamua kuwa na wake wengi badala ya kujidanganya eti nina mke mmoja wakati natumia gharama kubwa ku manage michepuko.

Wanaume na tulio na sifa za kuwa na wake wengi, naomba tujitokeze kwa ujasiri tu, tuache huu ujinga wa kujificha huku tukijua uchakataji unaendelea kimya kimya. Wanawake wapo wengi zaidi ya wanaume, tukisema kila mwanaume abaki na mmoja hatutafika.
Ni hayo tu kwa sasa.

Dada kaa na mumeo myamalize ulinde ndoa. Sisi wanaume ni wapuuzi sana, utamuacha leo ila baada ya miaka kadhaa inawezekana ukajutia uamuzi wako, pia kuna uwezekano ukafanikiwa.

Bila uvumilivu na busara, na misamaha yenu, hakuna familia. Mnalo jukumu la kutuongoza na kutusaidia kuyafikia malengo ya familia.
 
Mwanaume hakubali kosa la kipuuzi ivyoo uyoo mmeo ni kiazi wa head unakubali kosa wakati hajakukuta vunja ndoa iyoo tuongeze idadi ya masingle Maza mtaani uku labda Una kazi na unajiweza Ila ukivunja iyoo ndoa jiandae kisaikolojia kabisaa
Acha undezi mkuu kama Umeisha ushauri pita kimya kimya
 
Evidence zinatosha kabisa nyingine sijazisema tu na mbaya zaidi siku nimefika tu huyo mwanamke siku kama ya 3 alikuja Akanikuta nje ya nyumba napika huku nimevaa shati la bwanaetu niseme . Aliponiona alishtuka sana kaniangaliaaaaa hajasema kitu akaondoka .
Eti "mume wetu"

Sikiliza moyo wako nini unataka
 
Back
Top Bottom