Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Ni kweli amekukosea sana lakini Kama unampenda na uko tayari kurudisha moyo nyuma,mpe nafasi nyingine!!!

Kama anatekeleza majukumu yake vizuri bila shida yoyote usimuache!!!

Kama ni fala fala tu,mwanaume suruali,siku 2 mnacheka siku 5 ni kilio piga chini huyo atakuja kukuua kwa stress!!!
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Kwa kuwa katubu na kakiri kwa kinywa hatarudia jitahidi kumsamehe maana ni binadamu ni majaribu yamemkuta mwenzio.

Yawezekana kabisa katika harakati za maisha na wewe ukahitaji msamaha wake siku moja na hata kama hutahitaji msamhehe mwenzio
 
Uliza tu hapa haina shida!
Sawaa,

1. Huko nyuma alishawahi kucheat au ushawahi ona suspicious yeyote
2. If yes mli solve vp hio issue
3. If no nahiic atakuwa sio mzoefu wa kucheat so Bora umsamehe, kwann nasema hivyo.
a. Kumleta mtu Hadi home na kuharibu utaratbu wa pale nyumban bila kuurudisha ulivyokuwa inaonesha ye sio mzoefu wa mambo ya kucheat, LAKIN pia inawezekana ni mzoefu lakin sio mzoefu wa kuleta home.
4. Kama anamleta home na akijua kuna watoto au majiran wanaona simply kakuchoka na anataka ujue hiyo mienendo yake muachane.
5. La mwisho yamkini mmekwazana na ndomana anafany hayo yote uumie
 
A million dollar question, ni nini kimefanya hadi aka cheat na tena kwa style ya kuleta mchuchu ndani kwenu😳...

Ukiweza kulijibu hilo swali, utaweza kupata utatuzi na pengine kupata amani ya moyo wako...

Kucheat inaweza ikawa ni dhambi, kosa n.k lakini zipo sababu zinazopelekea tendo hilo...

1. Tabia/Laana/Urithi wa tabia ktk kiroho, je amefanya mara ngapi? Pia ikumbukwe familia zetu nyingi tutokazo unasimuliwa kuwa babu yako alikuwa na wake 3,4,5 n.k kumbuka kuwa tabia ile inaweza tembea vizazi vijavyo pia

2. Tamaa ya mwili ya mara moja, je amejizuia mara ngapi? Kwa mwanaume yoyote rijali, suala la kutamani tu mwanamke anayekuvutia mbali na mke/mpenzi si jambo la kushangaza, ishu ni je unaweza ukaishinda ile tamaa mara ngapi?

3. Vilevi, je ni mtu wa mitungi, mihadarati? Hivi huongeza stimu na kujiamini, si ajabu kilevi kikakufanya ukamchombeza mwanamke ambaye naye ni maji mara moja na kifuatacho kikawa historia...

4. Vishawishi, je ni nani marafiki zake, si wakati wote mwanaume hutongoza kuna wakati huwa tunatongozwa

5. Tabia ya mke/mpenzi, je wewe kama mwanamke are you down to earth to yo hubby, huna kiburi? huwa watoa unyumba kwa mpenzi wako vile inatakiwa?
Kuna wakati mwanaume huleta mchuchu ndani ili ujue kuwa anytime mwanamke unaweza ukapandishwa cheo kuwa mke mkubwa au ex wife 😊

6. Ushirikina, je mpo deep kiasi gani kwenye imani ya KiMungu, si ajabu mume au mke kuingia kwenye tego la kishirikina
 
A million dollar question, ni nini kimefanya hadi aka cheat na kwa style ya kuleta mchuchu ndani kwenu...

Ukiweza kulijibu hilo swali, utaweza kupata utatuzi na pengine kupata amani ya moyo wako...

Kucheat inaweza ikawa ni dhambi, kosa n.k lakini zipo sababu zinazopelekea tendo hilo...

1. Tabia/Laana/Urithi wa tabia ktk kiroho, je amefanya mara ngapi? Pia ikumbukwe familia zetu nyingi tutokazo unasimuliwa kuwa babu yako alikuwa na wake 3,4,5 n.k kumbuka kuwa tabia ile inaweza tembea vizazi vijavyo pia

2. Tamaa ya mwili ya mara moja, je amejizuia mara ngapi? Kwa mwanaume yoyote rijali, suala la kutamani tu mwanamke anayekuvutia mbali na mke/mpenzi si jambo la kushangaza, ishu ni je unaweza ukaishinda ile tamaa mara ngapi?

3. Vilevi, je ni mtu wa mitungi, mihadarati? Hivi huongeza stimu na kujiamini, si ajabu kilevi kikakufanya ukamchombeza mwanamke ambaye naye ni maji mara moja na kifuatacho kikawa historia...

4. Vishawishi, je ni nani marafiki zake, si wakati wote mwanaume hutongoza kuna wakati huwa tunatongozwa

5. Tabia ya mke/mpenzi, je wewe kama mwanamke are you down to earth to yo hubby, huna kiburi? huwa watoa unyumba kwa mpenzi wako vile inatakiwa?
Kuna wakati mwanaume huleta mchuchu ndani ili ujue kuwa anytime mwanamke unaweza ukapandishwa cheo kuwa mke mkubwa au ex wife

6. Ushirikina, je mpo deep kiasi gani kwenye imani ya KiMungu, si ajabu mume au mke kuingia kwenye tego la kishirikina
Asante Nimepata kitu hapa! Shukrani
 
Sawaa,

1. Huko nyuma alishawahi kucheat au ushawahi ona suspicious yeyote
2. If yes mli solve vp hio issue
3. If no nahiic atakuwa sio mzoefu wa kucheat so Bora umsamehe, kwann nasema hivyo.
a. Kumleta mtu Hadi home na kuharibu utaratbu wa pale nyumban bila kuurudisha ulivyokuwa inaonesha ye sio mzoefu wa mambo ya kucheat, LAKIN pia inawezekana ni mzoefu lakin sio mzoefu wa kuleta home.
4. Kama anamleta home na akijua kuna watoto au majiran wanaona simply kakuchoka na anataka ujue hiyo mienendo yake muachane.
5. La mwisho yamkini mmekwazana na ndomana anafany hayo yote uumie
Deep down Anaonesha kuregret sema mimi ndo inakua ngumu kumuamini tena. !!
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934

Listen to your heart, time heals. Jipe muda then utajua kama utasamehe au lah. Pia Muombe sana Mungu akuondolee hayo maumivu. Poleeee
 
Back
Top Bottom