Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!

Achana na huyu mwanaume.
 
Yani Mwanaume ukutwe na kosa halafu ujifanye kukataa kosa badala ya ukiri wa kosa halafu ujione hodari ?

Labda umkute mwanamke Mpumbavu lakini Kwa mwanamke Mwerevu kwa kule kukataa kwako kosa ili hali ushahidi wa wazi au wa kimazingira uko bayana ujue haitakusaidia sana sana unaongeza kosa lingine la kusema uongo

Sasa hapo makosa yatakuwa yameongezeka na kumuwezesha alokosewa Yani mke wa ndoa kufanya maamuzi sahihi kwa kutambua kuwa kumbe ana mume bandidu sugu ambae anafanya makosa na hayuko tayari ku-confess.

Mtu yeyote ambae anafanya makosa na kukataa in the first place huwa amekubuhu ktk kufanya makosa na ni wa kuwa naye kwa tahadhari.

Hata mtoto ktk familia ukiona anafanya makosa na kukataa kuwa hajafanya anza kumuogopa ndio badae huwa majambazi!
 
Kwanza mtu yeyote ambae hana utayari wa kukiri kosa maana yake hata akiomba msamaha msamaha wake huwa siyo halisi toka moyoni

Ili uweze kumsamehe mtu lazima upime vigezo 3-5

1. Ukiri wa kosa (confession of the sin/mistakes)

2. Regret (aoneshe kujutia kosa lake)

3. Aoneshe utayari wa kugeuka zidi ya mwenendo ulopekea kosa/dhambi

4. Aombe msamaha kwa kumaanisha.

5. Asitafute kujitetea wala kujihami

N.k.

Kwa mtu ambae hakubali kosa ilihali ushahidi wa wazi au kimazingira unaonesha kufanya kosa mtu huyo hawezi kujutia kufanya kosa, siyo rahisi kuonesha kujutia kitendo cha kosa alofanya atachukulia poa, na hawezi kugeuka zidi ya tabia hiyo!

Asomaye na afahamu!
 
Yani Mwanaume ukutwe na kosa halafu ujifanye kukataa kosa badala ya ukiri wa kosa halafu ujione hodari ?

Labda umkute mwanamke Mpumbavu lakini Kwa mwanamke Mwerevu kwa kule kukataa kwako kosa ili hali ushahidi wa wazi au wa kimazingira uko bayana ujue haitakusaidia sana sana unaongeza kosa lingine la kusema uongo

Sasa hapo makosa yatakuwa yameongezeka na kumuwezesha alokosewa Yani mke wa ndoa kufanya maamuzi sahihi kwa kutambua kuwa kumbe ana mume bandidu sugu ambae anafanya makosa na hayuko tayari ku-confess.

Mtu yeyote ambae anafanya makosa na kukataa in the first place huwa amekubuhu ktk kufanya makosa na ni wa kuwa naye kwa tahadhari.

Hata mtoto ktk familia ukiona anafanya makosa na kukataa kuwa hajafanya anza kumuogopa ndio badae huwa majambazi!
Hizo ni theoretical thinking, realistic thinking kukiri kosa ni zaidi ya kujihukumu death sentence kwa mwanamke.
 
Pole sana aisee! Kwakuwa umeshasema bado unampenda tena unamkubali, basi kufanya kumvumilia kwani upendo huvumilia yote!
Hata babu na bibi zetu kwa wale tulobahatika kuwakuta wakiwa hai na katika ndoa sio kuwa walipita kirahisi hapana kuna milima na mabonde kama hayo walikumbana nayo ila upendo ndio ulowavusha!

Hivyo jipe muda na uswazie kabisa kuivuruga ndoa yako amini umeshajenga pakubwa hadi sasa!
 
Pole sana ulisafiri ulienda mbali nje ya nchi? Kama ni TZ hii basi uzembe uliufanya ,ulishindwa weekend moja kuchukua "Mwewe" kuja Kumpunguzia "WAZUNGU"?
 
Yani Mwanaume ukutwe na kosa halafu ujifanye kukataa kosa badala ya ukiri wa kosa halafu ujione hodari ?

Labda umkute mwanamke Mpumbavu lakini Kwa mwanamke Mwerevu kwa kule kukataa kwako kosa ili hali ushahidi wa wazi au wa kimazingira uko bayana ujue haitakusaidia sana sana unaongeza kosa lingine la kusema uongo

Sasa hapo makosa yatakuwa yameongezeka na kumuwezesha alokosewa Yani mke wa ndoa kufanya maamuzi sahihi kwa kutambua kuwa kumbe ana mume bandidu sugu ambae anafanya makosa na hayuko tayari ku-confess.

Mtu yeyote ambae anafanya makosa na kukataa in the first place huwa amekubuhu ktk kufanya makosa na ni wa kuwa naye kwa tahadhari.

Hata mtoto ktk familia ukiona anafanya makosa na kukataa kuwa hajafanya anza kumuogopa ndio badae huwa majambazi!
Ushauri wa hovyo kabisa huu...Wanaume tukiufuata huu,asilimia 90% ya ndoa zitavunjika instantly
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!

Ujumbe wa mwisho ndo jibu lenyewe
 
Time heals.....kawaida yao hiyo, yani mtu anakokota mwanamke kooote anakuja kulala nae kwenye kitanda chenu, si angeenda lodge, halafu kujivictimize sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole.
 
Mpaka hapo ushapigwa tatu bila ili mwende sawa. Tumia vifungu vya biblia kupigana hiyo vita mkuu mfano "jino kwa jino, Upanga kwa upanga maana yake kalipize kisasi"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Aliponiona alishtuka!"

Kuna uwezekano mumeo kashampiga chini, otherwise asingekuja wakati upo...

Kuna uwezekano pia, alishakuwa huru sana na mumeo na sasa ametaka kuwa huru na hapo kwenu...

Pia kuna uwezekano kwa akili zenu wadada/wanawake, alikuja makusudi ili tu umuone, ujue huyo ndio bi mdogo πŸ˜₯

Again, tafuta kujua kwa nini mumeo ameleta mbususu ya kando home kwenu...
Hamnaga hata sababu huwa ni maamuzi tu
 
Jamaa ako kakosea sana kukiri kosa.

Wanawake mnatabia ya visasi, hata unikute mapajani Lazima nikatae Sio Mimi.
Cha ajabu huyo jamaa ikitokea nae kachitiwa ye ndio atakua kinara wa kulialia....haya mambo haya vidonda huwa vinapona ila makovu hayaishi!!!!
 
Back
Top Bottom