OMARY RAMADHANI
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 172
- 183
Una siku mbili tu tangu umeingia ktk mahusiano mapya na leo unarejea ktk mahusiano yako ya awali, hii inaonesha wazi wazi udhaif ulionao juu ya huyo mwanamke wako wa awali.
Fanya kujitafakari kidogo Mkuu ikiwa mahawara wawili wanakushinda kumiliki kuna jambo haliko sawa upande wako.
Fanya kujitafakari kidogo Mkuu ikiwa mahawara wawili wanakushinda kumiliki kuna jambo haliko sawa upande wako.