quavio wa tz
Member
- Aug 22, 2018
- 88
- 36
Hii inaniumiza akili nilikua na demu tukagombana baada ya kugombana nikachukua maamuzi ya kutafuta mwingine
Kinacho niumiza kichwa yule tuliye gombana aliniomba msamaha nikamsamehe but kinacho nisumbua now naogopa siku wakijua na cheat na uyo demu mpya naogopa kumwambia simtaki tena mahusiano yetu yana siku mbili tuu nipeni ushauri nifanyeje nitembee nao wote kisili au but naogopa kuwa cheat ushauri kwa wale wamiliki wa demu nimeona siwezi kuwa nao wote nimeamua kubaki na mmoja tuu ndio maamuzi niliyo yachukua na niliye mkataa kanilewa