Unaweza Ukasahau Mguu.

Unatangaza dawa za kulevya umeaga kwenu. Naoni ni giza hiyo!
 
Kitu maini,machanjio ninayo ya kutosha njoo hata PM tuchanje bwashee

Hivi kwani ni lazma BIG G iwe inatumika bro. Ukisaga hivi hivi inakuaje kiongozi...?
 
Nima sana tatizo lake kubwa ni kumaliza nguvu za kiume tu...yaani dushe linakua haliko strong..penis musicular weakness

Mbona wengine naskia hutumia ili achelewe kukojoa anapokuwa mchezoni mkuu...?
 
Ila handas ya veve yakiduanzi kinoma.. Unaeza kuta umeshikilia simu mkononi ila unaitafuta na unajua ushaipoteza.

Unafanya kujisachi unahamisha mkono unajisachi daah mpaka stimu inakata unajua umeshapoteza simu..

Kuja kushtuka ni pale inapopigwa unashangaa simu inaitia mkononi. Hapo ndio unajua kweli handas imefika mahali yake.
 

Hahahahah, aisee hii ni hatari sana mkuu.

Hivi kwa nini inakuwa hivyo mkuu. Ndio mana nikasema UNAWEZA UKASAHAU MGUU kiongozi. Lol.
 
Ni kwikwi bablai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…