Unaweza ukalia kwa kuachwa na mpenzi?

Unaweza ukalia kwa kuachwa na mpenzi?

Hivi kwa mtu uliyempenda sana,akikuacha unaweza ukalia ama ukafeel mpweke ama ukafeel discourage
Wanaliaga wanawake maana washazoeshwa vya bure, kuhongwa na kuchomekwa dudu, Binti wa zamani
Seran

Ghafla umuache na huduma umsitishie lazma ajambe Kwa presha

MWANAUME Hana Cha kupoteza maana ndie mtoaji mkuu na muhongaji

Vya bure vina madhara, wanawake tafteni vyenu
 
ukafeel mpweke ama ukafeel discourage

Acha Kujilegeza Wa Kiume Wewe..
"Ukafeel...Ukafeel",,Haipendezi KabisaKwa Jamii Zetu Wanaume,,
Jikazee.....###ShauriYako###
 
Wanaliaga wanawake maana washazoeshwa vya bure, kuhongwa na kuchomekwa dudu, Binti wa zamani
Seran

Ghafla umuache na huduma umsitishie lazma ajambe Kwa presha

MWANAUME Hana Cha kupoteza maana ndie mtoaji mkuu na muhongaji

Vya bure vina madhara, wanawake tafteni vyenu
Naomba usinitag ukiandika huu ujinga wako au ukiandika chochote kile.
Shukrani!
 
Wanaliaga wanawake maana washazoeshwa vya bure, kuhongwa na kuchomekwa dudu, Binti wa zamani
Seran

Ghafla umuache na huduma umsitishie lazma ajambe Kwa presha

MWANAUME Hana Cha kupoteza maana ndie mtoaji mkuu na muhongaji

Vya bure vina madhara, wanawake tafteni vyenu
Mwanamke ndio hana cha kupotenza mkuu kwa sababu kitu pekee anachowekeza kwenye mahusiano ni mbususu,mwanaume anaweza akawekeza hadi future yake kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom