Unaweza kuzimia hivihivi

Aisee kitu cha kwanza hapo nguvu zinaisha zote
 
ajaribu mtu kunifanyia hivyo halafu nimjue kama ni mke kashaachwa!!!
 
picha ya kwanza nimetoka kapa
 
ya kwanza sijaielewa

Picha ya kwanza mtu alikua amejifunika na sofa ya kiti na kujifananisha na kiti, jamaa alikua hajaona kaenda kukaa kumbe anaenda kujipakatisha.....unaweza kuzimia kwa kushtuka....
 
Picha zote mbili ni hatari tupu. Kama ndo mimi nahusika,kuzielfu(siyo kuzimia tu) ni lazima hapo
 
Hahahaha mie ningezimia na ambulace ingeitwa mana nastuka ovyo ovyo
 
na magonjwa haya ya presha kila mtu mbona utaua watu kwa mshtuko mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…