Pole kwa ngiri. Japo mm hata siujui naendelea kuomba Mungu aniepushe.Eti inawezekana mtu ukawa na ugonjwa wa ngiri bila kuwa na maumivu yoyote?
Siumwi, nauliza tu nataka kujua.Pole kwa ngiri. Japo mm hata siujui naendelea kuomba Mungu aniepushe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siumwi, nauliza tu nataka kujua.
Samahani,. Ni ugonjwa gani huu?
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.Samahani,. Ni ugonjwa gani huu?
Aiseeh weweNgiri akikuuma lazima usikie maumivu, meno yake yana ncha kali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app