Unaweza kutaja ulichoona...?.

Baada ya kuweka kinyonga........umenivuruga kabisa..........kwa kweli sijaona kitu...........
 
Baada ya kuweka kinyonga........umenivuruga kabisa..........kwa kweli sijaona kitu...........

Hahahaaa Preta kinyonga amekuvuruga vipi mwayego...!.
 
Last edited by a moderator:
Dubu,kangaroo,tausi,nyani,eagle,papa,tiger,farasi,sungura,Kobe,nguva,mbwa,paradee,dolphin,kinyonga,etc
 
Kichwa cha mtu, macho mawili, masikio, shingo. Kimechorwa kutumia picha za wanyama mbali mbali.
 
Kichwa cha mtu, macho mawili, masikio, shingo. Kimechorwa kutumia picha za wanyama mbali mbali.

Good explanation mkuu...!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…