Unaweza kupenda kabla ya kutamani???????/

Unaweza kupenda kabla ya kutamani???????/

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari wanajamii Forum.Hii kitu nimekuwa bado cjaelewa hivi unaweza kupenda mtu kabla ya kumtamani?????mfano kumtamani kwa muonekano wake,mavazi yake na vitu vingine kama kwa mwanamke makalio,maziwa na vitu vingine????hebu nisaidieni kwa hili may be am wrong
 
Everything is possible ..unaweza ukamtamani kwa mwonekano wake then ndio mnaanza kupenda
 
Habari wanajamii Forum.Hii kitu nimekuwa bado cjaelewa hivi unaweza kupenda mtu kabla ya kumtamani?????mfano kumtamani kwa muonekano wake,mavazi yake na vitu vingine kama kwa mwanamke makalio,maziwa na vitu vingine????hebu nisaidieni kwa hili may be am wrong

Huelewi kwasababu unataka uende sekondari wakati hata darasa la saba hujamaliza

Unajua maana ya kupenda?

Maana huwezi kudai unapenda wakati hata kupenda kwenyewe hukujui,hebu jibu kwanza hapo nikusaidie kupata jibu la swali unalolitaka!
 
maana kuna watu naongea nao wananiambia kupenda sio lazima utamani
 
ndio inawezekana kupenda bila kutamani. fikiria mtu unawasiliana naye na hamjawahi kuonana na unajikuta unampenda kiasi ambacho hata hutamani kumaliza siku bila kuwasiliana naye tena ukizingatia hata hujui yukoje. Inawezekana kupenda bila kuona ndio maana watu wengi wanasema wanampenda Mungu ilihali hawajui ana sura gani.
 
unitamani maziwa kwan natembea kifua wazi?? na huu mtindi huhuhuuuuu kazi ipo
 
Back
Top Bottom