Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,432
- 8,381
Mkuu Dotworld nakukubali. Mara nyingi ninapoanzisha 'thread' ya picha lazima umalizie, tena kwa umaridadi mkubwa.
Ha! ha! ha! siyo umaridadi mkuu Q Man, mimi huwa napenda wanaJF wapate picha pana zaidi juu ya hicho unachokusudia kuwafahamisha kupitia picha.Mkuu Dotworld nakukubali. Mara nyingi ninapoanzisha 'thread' ya picha lazima umalizie, tena kwa umaridadi mkubwa.
Upo? ... ulipotelea wapi?kuzuri sana
Jeji ... Mdau alieanzisha thread alishasema hapo juu kuwa ni El Penon de Guatape, nchini Colombia.mkuu Dotworld picha ni nzuri, ni wapi huko?
kwa sisi tulio zaliwa mamba miamba kawaida sanammh!! mimi sitaweza kwa kweli. kizunguzungu lazima kinipate
Acha mambo yako we kashesho, mnapandaga hadi mnafika kileleni halafu uje ushindwe hapo tu... Ambako hata hufiki kwenye kilele cha paa la hiyo numba..!!! USINTANIE BANA...mmh!! mimi sitaweza kwa kweli. kizunguzungu lazima kinipate