Kwa mwenye uzoefu tafadhali anisaidie ivi inawezekana mtu akakopa benki mara mbili yani akiwa ameshakopa benki A na anahitaji kukopa tena benki B io inawezekana kweli.
Inawezekana Kama utatumia dhamana tofauti na ya mwanzo,Kama ilikua ni nyumba basi itakubidi uwe na dhamana nyingine tofauti na hyo au utumie hati ya nyumba nyingine maana ya mwanzo hauna,lakini ukigundulika una mkpo kwingine hawakupi.