Unaweza kukopa Benki mbili tofauti kwa wakati mmoja?

BOENG 777X

Member
Aug 9, 2020
11
3
Habarini za kazi za kila siku wapendwa.

Kwa mwenye uzoefu tafadhali anisaidie ivi inawezekana mtu akakopa benki mara mbili yani akiwa ameshakopa benki A na anahitaji kukopa tena benki B io inawezekana kweli.

Msaada tafadhali.
 
Kama wewe ni mtumishi wa UMMA angalia ⅓ya salari yako imebaki kiasi gani mkuuu. Kama inazidi ⅓ unaweza kupewa mkuu.

Kwa biashara watafanya tadhimini ya dhamana unayoweka na biashara kama unaweza kulipa mkuu wanakupa tuu mkuuu.

(Kwa biashara wanafanya kitu kinachoitwa business appraisal)ambayo watagusa hata ulipaji wako wa huo mkopo wa Bank nyingine ulio nao.
 
Inawezekana Kama utatumia dhamana tofauti na ya mwanzo,Kama ilikua ni nyumba basi itakubidi uwe na dhamana nyingine tofauti na hyo au utumie hati ya nyumba nyingine maana ya mwanzo hauna,lakini ukigundulika una mkpo kwingine hawakupi.
 
Shukrani sana ubarikiwe.
 
Inawezekana Kama utatumia dhamana tofauti na ya mwanzo,Kama ilikua ni nyumba basi itakubidi uwe na dhamana nyingine tofauti na hyo au utumie hati ya nyumba nyingine maana ya mwanzo hauna,lakini ukigundulika una mkpo kwingine hawakupi.
Ni mwajiriwa wa Serikalini
 
Back
Top Bottom