Unaweza kukishitaki chuo?

Unaweza kukishitaki chuo?

Wakuu habari Nina changamoto kubwa chuoni ambayo kuelezea hapa ni ngumu ila kwa maelezo ya watumishi wanasema Nina haki.

Ila idara kuu Naona wanataka kunipotezea tena mwakq mzima na ada ambayo sio chini ya laki nane.

Je naweza kupeleka changamoto Yangu sehemu Gani ili chuo kiadhibiwe?

Chuo gan?

Kila chuo kina utaratibu wa kutoa malalamiko,

1. Kuna uongozi wa wanafunzi wa Chuo. Wafuate wakupe utaratibu

2.Andika barua kwa mkuu wa chuo au kaimu mkuu wa chuo, ili wakupe muda wa kukusikiliza hoja zako na wap waseme yao.
 
Mvactican unakumbuka hii
 
Mvactican unakumbuka hii
We matako nini
 
Du
Mvactican unakumbuka hii
Duuuh mkuu umemuweza
Kumbe huyu jamaa ni kiaz kikuu hivi
Mavi yake laiyon mkubwa yeye
Anatona sisi watoto
 
💯🎉🎊💥💢👽😻😼😽😿😾💥💨🧡💨💦🩵💯🎉🖤💕💌💓💙💖💕❤️❤️🗣️👣👁️👄👅👃👂🦻🦶👃🦠🦻🫶✊💪🫲👋🤚✊🖐️✋✊💪👍💙🖤💙🖤🎉🩶🤍❤️⚡
 
Back
Top Bottom