Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
.., sawa tumepokea taarifa ya kamati ya Profesa Nehemiah Ossoro., imeonesha uozo mwingi sana.., kuna mapendekezo mazuri..., kila mtu sasa aendelee kushangilia au kutafakari kwa kina...,
Sasa najiuliza.., Rais amesema watafanya negotiations na ACACIA na kuona grounds ambazo zilikuwa played-rough, ili wazirekebishe na wakae mezani.., sasa unakwenda kufanya negotiation na mwizi on which basis? Tena mwizi wa trillions of money..., unakaa vipi mezani na mtu anaehujumu uchumi wako!??
Naendelea kujiuliza, hao ACACIA ambao wanatuhumiwa kwa ubadhirifu na wizi wakirejesha madai na fidia hizo wanazodaiwa kuiba, serikali itampa msamaha na kisha kurejea mezani na kufanya biashara na mwizi!?
Anyways.., nimesikia kwamba ACACIA hawana usajili wa kufanya biashara nchini under BRELA Licence..., kwa tafsiri ni Kampuni hewa..., tunaweza vipi sasa kufanya majadiliano na hewa!??
..., najiuliza tu..., maana hamkawii kusema mimi sio Mzalendo.., mkaamua kunishughulikia with the consequences..., maana it's illegal to outshine your government..,
Martin Maranja Masese [MMM]