Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jan 22, 2013 #1 View attachment 80445 Hawa manzi walipata wapi ujasiri wa kuchimba dawa hapa?
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,467 Reaction score 9,053 Jan 22, 2013 #2 nilipoona hii heading na picha ni upuuzi lakini baada ya kuangalia avatar ya mleta mada nimeelewa
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 22, 2013 #3 Pombe za bure zinamadhara makubwa!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jan 22, 2013 #4 Tanroads wameiona hii? Kumbe ndiyo maana service roads zina mashimo eeeh...ngoja niwaambie Tanroads wawe wanapanda ile mimea ya kuwasha (upwipwi) kando kando ya barabara zetu.
Tanroads wameiona hii? Kumbe ndiyo maana service roads zina mashimo eeeh...ngoja niwaambie Tanroads wawe wanapanda ile mimea ya kuwasha (upwipwi) kando kando ya barabara zetu.
Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,975 Jan 22, 2013 #5 Niliwahi tumiwa hii kwenye"Outlook" yangu.....kama miaka 3 nyuma!!.... Kawaida dawa inachimbwa kokote kaka japo bila jembe!!
Niliwahi tumiwa hii kwenye"Outlook" yangu.....kama miaka 3 nyuma!!.... Kawaida dawa inachimbwa kokote kaka japo bila jembe!!
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 22, 2013 #6 Hawa walevi, duuuh! mkojo lita 20 kwa kila mmoja!!!!!!!!