mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Hawa wanandoa walipanga kulipua bomu kigaidi shopping center London, mwanamke 24 yrs, ni msomi na alikuwa mwalimu mwenye degree na anatoka middle class family...alitumia mshahara wake kumlea huyo mume 25 yrs, pamoja na kumnunulia madawa ya kulevya mpaka bangi.
Mwanamke pia alichukua mkopo kununua vifaa vya kutengeneza bomu.Walikamatwa baada ya jamaa kujitangaza twitter kwamba anataka kujilipua na mkewe.
Hebu tazama sura hizi.Can you see evil? especially huyo mdada jamani.....dah
Last edited: