M mwakibete JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 3,069 Reaction score 2,314 Jan 11, 2013 #21 simba Ananyosha utumbo kwanza
Madago Senior Member Joined Feb 7, 2009 Posts 117 Reaction score 11 Jan 11, 2013 #22 Aliyefika kwanza ni punda ama simba, au wote walikuja pamoja? Kama punda alikua anakunywa akasikia simba anakuja angekimbia nafikiri. Na kama simba alikua anakunywa punda asingesogea kabisa...!! unless wako tamed
Aliyefika kwanza ni punda ama simba, au wote walikuja pamoja? Kama punda alikua anakunywa akasikia simba anakuja angekimbia nafikiri. Na kama simba alikua anakunywa punda asingesogea kabisa...!! unless wako tamed
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 Jan 11, 2013 #23 Full Moon said: hahahaha..photoshop hiyo.. Click to expand... Mkuu Full Moon hii ni pic ya kweli.. no mixer.. Nimeitazama baadhi ya alama zinaonyesha uwiano kwa wote wawili..
Full Moon said: hahahaha..photoshop hiyo.. Click to expand... Mkuu Full Moon hii ni pic ya kweli.. no mixer.. Nimeitazama baadhi ya alama zinaonyesha uwiano kwa wote wawili..
luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Jan 11, 2013 #24 CDM vs CCM.. nalinganisha, may be its possible
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Jan 11, 2013 #25 MziziMkavu said: Click to expand... Acha nilainishe koo kwanza mke wangu akichelewa nakukamata mwenyewe
MziziMkavu said: Click to expand... Acha nilainishe koo kwanza mke wangu akichelewa nakukamata mwenyewe
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Jan 11, 2013 #26 Wallah siwezi amini.... kwani nisawa na mimi kulala na demu wa rafiki yangu!!!!!
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jan 11, 2013 #27 PHOTOSHOP at work
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jan 11, 2013 #28 ni km urafiki wa mwanamme na mwanamke just a friend haipo!
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Jan 11, 2013 #29 Inawezekana kweli Simba ameshiba, ila huyo pundamilia ndio nashangwaza na ujasiri wake, kama kweli picha sio photoshop.
Inawezekana kweli Simba ameshiba, ila huyo pundamilia ndio nashangwaza na ujasiri wake, kama kweli picha sio photoshop.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,490 Reaction score 100,883 Jan 11, 2013 #30 Very right lakini na Pundamilia naye ameshiba kuliwa hata asimkimbie huyo jamaa? Maana hio ni pande mbili Mpwa.... Petro E. Mselewa said: Kwanini tusiiamini? Simba hula na hushiba kama wanyama wengine.Hata paka humsukuma panya anapokuwa ameshiba Click to expand...
Very right lakini na Pundamilia naye ameshiba kuliwa hata asimkimbie huyo jamaa? Maana hio ni pande mbili Mpwa.... Petro E. Mselewa said: Kwanini tusiiamini? Simba hula na hushiba kama wanyama wengine.Hata paka humsukuma panya anapokuwa ameshiba Click to expand...
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 11, 2013 #31 MziziMkavu said: Click to expand... Naam! Binaadamu ameshindwa kwa Wapalestina na Waisrael tu.