Inawezekana kuama chuo ndio! Ila kunakuwa na muda Maalumu ambao utatolewa na TCU, unachotikiwa kuwa nacho ni admission letter kutoka kwenye chuo ulichochaguliwa( mzumbe) upeleke moja kwa moja kwenda kwenye chuo unachohitaji bro!
Kuhusu mkopo!
Boom utaanza kupata awamu ya Pili! Ila hii ya kwanza huwezi kupata! Jiandae kwa kupambana Ila mwezi wa kwanza utapewa pesa yote ambayo ni one million..
Kuhusu Ada, inategemea na kozi unayoamia! Huenda ukaongezewa Ada au ukapunguziwa au ukokasa kabisa.
Mwisho Jitahidi Sana kwenda na muda! Mana ikipita imepita hairudi Tena..
Niite kijana, mpambanaji