Unawazo la kuanzisha Mobile APP au Startup na hujui pakuanzia wapi au huna pesa za kutosha kuanza, nakurahisishia kwa ku-design hatua zote za mwanzo

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,917
4,116
Kutokana na muamko mkubwa wa watu kuanza kujihusisha na digital business, watu wamekuwa wakiingia na kujifunza NICHE mbalimbali za teknolojia za kimtandao na Creator Economy, kutokana na muamko huu watu wengi pia wamekuwa na mawazo mbalimbali ya kuanzisha
  • Mobile App
  • Startup Company
  • Website App

Changamoto founder hawa wamekuwa na mawazo yao kichwani kama wazo bila kufanyia EXCUTION mpaka mawazo hayo yana potea kichwani hata ukimuelezea mtu unamuelezea kwa mdomo haelewi hauna any Document inayoonesha Roadmap yaw azo lako.

Ninanaanza kutoa huduma hii kwa wenye mawazo ya haya kwa ku-Design muonekano wa App hiyo (User Interface) na kuandaa Roadmap ya App Biashara ya App yako
  1. Muonekano wa App (User Interface)
  2. Business Model (Mtindo wa biashara)
  3. Marketiing Strategies (Mbinu za masoko)
  4. Monetaization (Jinsi ya kuingiza pesa)

1.User Interface (Muonekano wa App)
Nitahusika kufanya kautafiti target market yako au user wanataka nini kwenye App na kwa maelezo utayonipa pia nitayatumia kutengeneza muonekano wa App yako ambao utaonesha user ataitumia vipi App yako na kutatua tatizo lake ambalo amelenga kutatua.

789146206b2e1ab176fcc040104a096b.jpg


2. Business Model (Mtindo wa biashara)
Baada ya kutengeneza User Interface nitaiandaa business model inayoeenesha App yako kama biashara inafanya vipi kazi tofauti na washindani wako, Model yako ndio itasaidia kuteka soko kwasababu hakuna kitu kipya duniani bali tuna tatua matatizo yaleyale yaliyopo kwa njia tofauti ndipo tunapo design Model ya App yako.

3. Marketing Strategy (Mbinu za soko)
Kutengeneza App ni kitu kimoja kufanikiwa kwa App ni kitu kingine hii inammanisha kila aliye na pesa anaweza tafuta developer akatengeneza App mafanikio ya App 90% yapo kwenye Marketing ni jinsi gani unaitangaza App yako kuwafikia Potential Users, kutokana na maenedeleo ya teknolojia kuna njia nyingi za kufanya marketing ila itategemeana na App yako ipo katika NICHE gani na Target User wake ni wapi, kwa kutumia ushirikiano nitaandaa marketing strategies zako utazofanya kulifikia soko.

4. Monetaization (Inaingizaje Pesa)
Hatutengenezi tu App kwa kujifurahisha mwisho wa siku tunahitaji ituingizie pesa hivyo kabla ya kutengenza App inabidi uwe na clear Exit Plan kwamba unaingizaje pesa, kuna njia nyingi za kuingiza pesa kwenye App kutemeana na App ni ya NICHE gani, inatatua tatizo gani na Model yake, nitandaa Monetaization ya App yako.


Havi vitu vitakusaidia kufanya documentation yaw azo/mawazo yako na kuyapa thamani ukiwa na full documentation yaw azo lako inakuwa rahisi kujua unaanzia wapi, pia inasaidia zaidi unapotafuta Business Partiner, Co-Founder, mewekezaji, Developer wa App yako.

Screenshot_20220814-085557.png

Natoa huduma ya ku Design na kufanyia documentation yote kwa gharama nafuu kabisa kutegemeana na App yako inahitaji vitu gani,

KWA HUDUMA NICHEKI PM
 
Back
Top Bottom