Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu hata kwa sura watangazaji hao, maana vipindi vilikuwa vimesheheni watu walikuwa na vipaji vya kuogopwa.

ikikuwa ukiwasha redio asubuhi huzimi mpaka kesho ikizima ujue umeme umekatika, KISS FM nilianza kuisikiliza muda kidogo kupitia dishi la televisioni upande wa redio sababu sehemu niliyokuwepo masafa yake yalikuwa hayafiki,

hebu shusha orodha ya watangazaji waliokuwa wanashusha mabalaa kipindi hiko, kwa sasa naona kama hazifanyi poa

RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....

KISS FM
Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
JML
ONGEZA LIST......

Kwa kifupi hizi rredio mbili palikuwa ni chuo cha kujifua na ilikuwa ndoto ya wengi kwenda kufanya kazi sifahamu kwa sasa
umemsahau Deo burabuza kiduduye RIP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom