Unawakumbuka wakali hawa?

GOKILI

GOKILI

JF-Expert Member
439
250
walitamba enzi zile za empire,empress,new chox na drive-in katika three the hard way,hell up in harlem,bucktown,truck turner,ride hard,boss nigger etc etc.jee unawakumbuka kina fred williamson,jim brown,tony king,yaphet kotto,pam grier,thalmus rasulala nk kama unawakumbuka ongezea na wasiotajwa hapa na flicks unazozikumbuka za enzi zile
 

Forum statistics


Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom