Nimeagiza gari kupitia kwao limefika bila tatizo
Befoward wamenitumia link ya CAP na zimeshapita kama siku 10 hvi hamna update yoyote wanayonipa. Status ya mwisho walikua wamepata nafasi kwenye meli
Hope wanaendelea na process za kupakia etc..but no worries.ukiona kimya ujue kuna mambo mazuri yanaendelea thereafter wataku update kwa CAP yako!
yeuwiiiiii nawe una gari?Uwemakini Panamagaribomu a nwdays kun agariniimeleta nimeshindanao wanarekebisha kilasiku !!!nazingine zinanockengine mpakauletewe enginempyabadowafungevibaya niutashaaa naaminiibosiwao wajapan ajuihili
Nyumbanagari mimchagasiokamaweweeunanunua gariunakaa sinzanyumbazqkupangayeuwiiiiii nawe una gari?
My take: Si vizuri kuchafuliana kazi kwa kigezo cha biashara ya ushindani-hata kama ulipata tatizo usifanye generalization just provide feedback ili wajirekebishe au uwaripoti Japan.
Kama huamini hayo ni-PM nitakupa facts!:cool2:
Kama wewe walikutendea vizuri ni vizuri kuwapa sifa zao ila usiwazuie waliotendewa tofauti kusema waliyokutana nayo.
Nyumbanagari mimchagasiokamaweweeunanunua gariunakaa sinzanyumbazqkupanga
Habari za asubuhi wakuu!
Naomba msaada wenu, nataka kununua gari, na nimefanya mawasiliano na Beforward Co. LTD Japan kwa mtandao wao, na asubuhi hii nimekuta Pro forma Invoice kwa E-mail yangu, wakinitaka nikalipie ndani ya 48 hrs. Naomba msaada kujua uhalali na uwepo wa kampuni tajwa, mi huwa naona bango lao pale Jangwani, hivi vijihela nimevunja kibubu jana, na wabongo wamekuwa watu hatari sana, wasije niingiza mjini!
Natanguliza shukrani, ruksa kupita kimya kimya!