Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Nao nasikia ni wairaq....
Ila wanawake ...mh wamejaaliwa hiyo miguu kama ya wachagga.
Kwa nyongeza tu, Wanaume wao hupenda sifa sana hasa akizikamata.Wanawake hupendelea kufanya biashara za kuuza vitu vidogo vidogo jioni kama samaki na karanga kwa mwanga wa koroboi. Hawa ukuoa hata kama una kila kitu, ukimzua kufanya biashara zake pembeni ya barabara atakuacha penda usipnde.
Nao nasikia ni wairaq....
Ila wanawake ...mh wamejaaliwa hiyo miguu kama ya wachagga.
dah mnanikumbusha khadija wangu jamani, mtoto wa kirangi she was so cute lkn miguu tu alikosa hilo nathibitisha, huyu mtoto ndo nilopojifunzia style zote tulikuwa bila bao nne hatujatoka room, upo wapi khadija. Nakumbuka mapenzi yalituzidi mpaka ilifika kipindi tunajifungia gesti toka saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, khadijaa mtoto wa kondoa ilikuwa arusha hiyo wadau, nakumbuka my bro alisafiri km wiki hivi khadija alikuwa anaishi na dada'ke pale mitaa ya shamsi kwa vile ilikuwa jirani na home basi usiku alikuwa anatoroka. eti anafunga uzi wa kushonea kwenye mguu wake halafu anautolea dirishani basi mie ikifika saa nne usiku naenda dirishani nauvuta ule uzi anashtuka tunasepa kuibanjua amri ya sita. dah khadijaa mtoto wa kirangi maskini walimkeketa lkn kwa uwezo wangu niliweza kumfikishaa kileleni. warangi wazuri bana lkn pale arusha hawana sifa nzuri.
mhhh kazi ipo
duuu imekaaa njema hiyo.wanatoka wilaya ya kondoa ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:
kondoa
ondoa
ndoa
doa
oa
a !!!!!!!!!!
KONDOA sio mchezo! Uki -ONDOA tabia yao ya kufanya tendo la NDOA kwa kugusa tuu, maisha yao wameyatia DOA japo waoaji bado wana wa OA sana na kuwapa maksi za A kwa rangi na uzuri wa sura.Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:
KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A !!!!!!!!!!
Ukioa siku ya saba lazma arudi kwao akakabidhiwe kanyoka kake kakufuga ndani kwa siri hahahaaaa!
Uliolewa matara?
dah mnanikumbusha khadija wangu jamani, mtoto wa kirangi she was so cute lkn miguu tu alikosa hilo nathibitisha, huyu mtoto ndo nilopojifunzia style zote tulikuwa bila bao nne hatujatoka room, upo wapi khadija. Nakumbuka mapenzi yalituzidi mpaka ilifika kipindi tunajifungia gesti toka saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, khadijaa mtoto wa kondoa ilikuwa arusha hiyo wadau, nakumbuka my bro alisafiri km wiki hivi khadija alikuwa anaishi na dada'ke pale mitaa ya shamsi kwa vile ilikuwa jirani na home basi usiku alikuwa anatoroka. eti anafunga uzi wa kushonea kwenye mguu wake halafu anautolea dirishani basi mie ikifika saa nne usiku naenda dirishani nauvuta ule uzi anashtuka tunasepa kuibanjua amri ya sita. dah khadijaa mtoto wa kirangi maskini walimkeketa lkn kwa uwezo wangu niliweza kumfikishaa kileleni. warangi wazuri bana lkn pale arusha hawana sifa nzuri.
matara ndio nini,ongea kiswahili usidhani kila mtu anajua lugha yako