Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,989
- 3,984
Yeah habari wana JF
Hii ni special thread kwa Hawa jamaa bongohoodz pichaz
Kama ni mpenzi wa movie zenye miondoko ya crimes basi Hawa jamaa ni best kwa hapa bongo maan movie nyingi hapa ni drama tu crimes sio sana basi Leo nakutambulisha kwa bongohoodz
Crimes movie made in Tanzania
Story ni nzuri sana aki zinafutia kuangalia ukiaangalia movie moja tu jua utatafuta nyingine, binafsi nimewajua kitambo kidogo mpaka sasa sijajutia kuwafatilia movie zao zina mtindo wa maisha ya mtaani haswa Yan getto life humu utaona mtoto WA kishua sijuh blah blah huku utaona maisha ya geto tena uswahilini
Hawa jamaa ni sawa na zile movie tunaagalia za crimes au mafia movies with low budget ila jamaa ni noma
Hii ni appreciation kwao
Badhii ya movie zao
kichwa cha genge
Kisasi kitakatifu
Tatu chafu
Changudoa mchanaji
Mchepuko
Fisi weusi
Mikosi Mikasa makosa
Bongo na flava
Cheche kwenye wese
Almasi ya dhahabu
Tapeli dot com
Dili za michongo
Giza la mchana
Na nyinginezo, binafsi nawaeelewa sana hawa jamaa hasa kwa kuwa na mioondoko ya hip-hop kwenye haya matambala Yao kukutana na wasanii wa hip-hop ni kawaida sana mf nikkimbishi, one the incredible ndani ya bongo na flava, fid q, dogo janja, young killer,domo kaya, Mex Cortez etc.