Duuu unazidi tu kunichanganya Mkuu ,kila la kheriHata kama ni dume lkn uzuri wake ni kama shemeji yako mkuu
Hii inaitwa, hata vibogoyo ruksa kula nyama!.
Si bure atakuwa anamatatizo huyuu....haiwezekanii nimetumia nguvu zangu kufungua huu uzi eti nakutana na tausiMmh we utakuwa na matatizo
Na kweli. Hajui kuwa huyo kiumbe ni 'jogoo'... Jike huwa hana ma urembo ya hayo manyoya. Majike wako 'flat screen'...Mmh we utakuwa na matatizo
Muulize Riz1. Hawa walikuwa wanapatikana pale 'nyumbani kwao' pekee. So kama kuna mtu ambaye most likely atakuwa amemla bac naye ni mmoja wapo...Samahani wadau, Hivi huyu ndege analiwa???
Huenda shem wetu ndio dizain ya wale madem wenye ndevu!Mhhh unanitisha mzee ,hilo ni dume la Tausi sasa huyo shemeji sijui unamaanisha nini
Mhhh unanitisha mzee ,hilo ni dume la Tausi sasa huyo shemeji sijui unamaanisha nini
Haha acha tu dada usikute alijua huyo tausi ni jike ,sasa sisi tunao kuwa na tafsiri zaidi ya moja ametuacha njia panda ,hizo sifa zina uhusiano na Bilal mashauzi
Aisee nimecheka sana