Unaupendea Nini Michepuko Wako?

Baadae mtuletee na Uzi baada ya kuchepuka ukaukwaa ukimwi, na mbaya zaidi ukamwambukiza na Mke wa ndoa, nyote mkaanza doz ya ARvs.
 
Watu michepukoni wanajiachiaa haha
Ndani ya ndoa no delivery
Mambo vice versa kbs
 
Afu nmeshagundua ktu,nikichepuka afu nkarudi kwa Mke napga vzur sana,kwahyo nkionaga kama stimu znapungua kwa Mke nachepuka Mara moja nikirud kwa Mke napga vzur mno
 
Nasoma comments za watu kimya kimya nayafanyia kazi madhaifu yesemwayo na malaika wa humu JF
 
Ole wako.

Kuna wengine wanga wanahamishia kwao netwek.

Mnara unasoma ukiwa na yeye tu.

Ukitoka tu hapo mnara unakuwa DORO ile mbaya.
Afu nmeshagundua ktu,nikichepuka afu nkarudi kwa Mke napga vzur sana,kwahyo nkionaga kama stimu znapungua kwa Mke nachepuka Mara moja nikirud kwa Mke napga vzur mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…