mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Duh...nan tena huyo kiongoz?Kuna mtu namzoom hapa!
Balaa...popo kanyea mbingu[emoji23][emoji23][emoji23]Zile style mbali mbali za KIZAZI KIPYA tu, matata sana!
Ruksa kiongozNa sisi wakike wenye michepuko a.k.a viben10 tunaruhusiwa Ku comment?
Au Uzi wetu utafunguliwa?
Maana wakati nyie mnaenda kwenye michepuko na sisi kuna sehemu huwa tunaenda[emoji23]
duuhIlikuwa kitambo nikiwa na mme wa mtu,, nilikuwa nafurahi vile jamaa alikuwa hana say kwangu ila nilisha achaga nimebaki njia kuu
Sikuamini mpaka utume vielelezoNa sisi wakike wenye michepuko a.k.a viben10 tunaruhusiwa Ku comment?
Au Uzi wetu utafunguliwa?
Maana wakati nyie mnaenda kwenye michepuko na sisi kuna sehemu huwa tunaenda[emoji23]
HaahaaSikuamini mpaka utume vielelezo
Namsubiria akujeDuh...nan tena huyo kiongoz?
Kielelezo pekee cha kukuaminisha, ni kukufanya wewe uwe kibenten au mchepuko wangu.Sikuamini mpaka utume vielelezo
upoupo hadi lin kiongz?Heri mimi sijaoa... #badoniponipo