libent JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 382 Reaction score 89 Dec 12, 2011 #1 Ng'ombe aliyeko mbele ndiye anaechelewesha safari kwa kutembea polepole lakini fimbo anachapwa wa nyuma. Nashut down
Ng'ombe aliyeko mbele ndiye anaechelewesha safari kwa kutembea polepole lakini fimbo anachapwa wa nyuma. Nashut down
M Maengo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 280 Reaction score 29 Dec 12, 2011 #2 Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo.
Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,360 Reaction score 2,389 Dec 12, 2011 #3 kwa hiyo ni ng'ombe?
M mbambaguy JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 217 Reaction score 19 Dec 12, 2011 #4 Maengo said: Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo. Click to expand... i like hayo maelezo
Maengo said: Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo. Click to expand... i like hayo maelezo
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 12, 2011 #5 Mmmh, haya ntaitolea statement badae ngoza nimwezeshe mkoloni kwanza.
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Dec 12, 2011 #6 Maengo said: Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo. Click to expand... kwahiyo hapa nani ng'ombe sasa..!!?
Maengo said: Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo. Click to expand... kwahiyo hapa nani ng'ombe sasa..!!?
Primitive JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 222 Reaction score 45 Dec 12, 2011 #7 hyo statement aliitoa mh. filikunjobe mbunge wa ludewa! maana ndo hyo hyo, chapa kiongozi ili wanyuma wapate kusonga!
hyo statement aliitoa mh. filikunjobe mbunge wa ludewa! maana ndo hyo hyo, chapa kiongozi ili wanyuma wapate kusonga!
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,147 Reaction score 7,412 Dec 12, 2011 #8 wanafunzi wanaokaa mbele darasani wanaulizwa maswali mengi kuliko vilaza wa nyuma.