Unaufahamu ugonjwa unaitwa Vaginismus?

kakapeter

Member
Oct 30, 2009
36
10
Hi Comrades,poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kulingana na maelezo niliyopata mtandaoni kuna haka kaugonjwa ambako kanaonekana kapo kisaiklojia zaidi,baadhi ya wanawake wameshindwa kufurahia sex kwa vile tu misuli inayozunguka uke wao hujifunga mara wanapotaka kufanya sex na hivyo kuwafanya washindwe kabisa kufanya au wapate maumivu makali wafanyapo sex.Inakuwa ngumu kwa wanaume pia maana hata penis kupenya inakuwa ngumu...nimeona kitaalam wanaita Vaginismus.Inasemekana wanawake/wasichana kibao wana tatizo hili japo si wengi wanapata courage kuliongelea,nimekutana na binti mwenye tatizo hili ndo maana nikasearch sana kuhusu hii kitu.Najua JF ina vichwa vya kila namna,je kuna daktari humu ndani au mtu yeyote ana details kuhusu chanzo na matibabu ya ugonjwa huu?Where could be a right hospital for this in Tz?'

''I always think that a serious mind handles serious things seriosly"
 
Back
Top Bottom