Kuna nyimbo nimeiona YouTube but siipati kwenye mitandao mingine iliniidownload nifanyeje?Nilitaka kuitaja hiyo 3 juice hua natumia pia
Tubidy I.O
Kina nyimbo nimeiona YouTube na taka niidownload lakini mitandao yote ya nyimbo siioni nifanyaje?Nilitaka kuitaja hiyo 3 juice hua natumia pia
Tubidy I.O
Mp3juice bado ipo nilikuwa natumia kuna muda ilikuwa inazingua.Mi natumia mp3juice.cc.
Ina files kubwa sana.
Je, unatumia website gani kudownload music? Hasa audio.
Let's share.
Tumia App ya videoder unaweza ukadownload video na audio kutoka Youtube.Kina nyimbo nimeiona YouTube na taka niidownload lakini mitandao yote ya nyimbo siioni nifanyaje?
Aya Uzi ufungweNyimbo za Afrika zinapatika kupitia blog mbalimbali na sites ila za ulaya na marekani zinapatikana kupitia torrent sites mbalimbali pia kwa mfumo wa album au Playlist
Hivi kuna smartphone inafungua tubidy?Tubidy naikubali sana.