Mrndumbarojl
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 115
- 135
HII NDIO SABABU HUIPATI!
Kama wewe ni mtu unayetafuta ajira serikalini au sekta binafsi, kuna jambo moja muhimu unapaswa kulielewa:
Hata uwe na CV nzuri kiasi gani, kama haijaandaliwa kwa mfumo sahihi — unaweza usiitwe kabisa.
1. Tofauti Kati ya Serikali na Sekta Binafsi
Watu wengi hutumia CV moja kuomba kazi zote. Hili ndilo kosa kubwa.
2. AJIRA ZA SERIKALI
(PSRS – Ajira Portal)
2.1 Serikali Inaangalia Vigezo Rasmi
Serikali hata uwe na CV nzuri kiasi gani, kama hujakidhi vigezo vya tangazo la kazi, vigezo vya kisheria na vigezo vya kitaaluma, hawakuchukui.
Mfano:
Kama nafasi ni ya Graphic Designer, wanataka mtu aliyesomea Graphic Design, mwenye cheti, na aliyekidhi vigezo vya kisheria.
Hata kama una kipaji kikubwa lakini huna sifa rasmi — nafasi hiyo hupati.
2.2 Serikali Wanahitaji “Detailed CV”
CV ya serikali inapaswa kuwa:
Ndefu
Yenye maelezo ya kina
Iliyopangwa kwa muundo rasmi
Inayoonyesha elimu zote, kozi, majukumu na tarehe sahihi
Ukiacha taarifa au ukaandika vibaya → mfumo unaweza kukataa moja kwa moja (non-compliance).
Kanuni za Sekretarieti ya Ajira ni wazi na hazibadiliki.
Mpangilio wa CV hutumika kutathmini namna ulivyo makini kitaaluma.
Lakini kumbuka:
Usipofaulu written au oral interview, CV haitakuokoa.
2.3 Je, Serikali Wanaconsider CV?
Ndiyo.
Usipo-attach CV wakati wa maombi → unaweza kuonekana hufuati maelekezo (Not shortlisted – CV not attached).
Kwa nafasi nyeti, CV isiyosainiwa inaweza kuwa sababu ya kuondolewa (Not shortlisted – CV not signed).
Baada ya written interview, CV haitasaidia kama hujafaulu mtihani.
Ukifaulu hatua za usaili, CV hutumika kwa verification ya taarifa zako na upangaji wa majukumu.
Kwa kifupi:
Serikalini, CV ni nyaraka rasmi inayopaswa kuendana na kanuni maalum — si sehemu ya ubunifu mwingi.
3. SEKTA BINAFSI
Makampuni, benki na NGOs nyingi hutumia mfumo wa ATS (Applicant Tracking System).
3.1 Private Sector Inaangalia Matokeo
Hata uwe na cheti kizuri na umesoma sana — kama mwajiri haoni uwezo wako wa kuleta matokeo, hawatakuchukua.
Mfano:
Serikali itaajiri Graphic Designer mwenye cheti sahihi.
Private sector inaweza kuajiri mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi vizuri hata kama hana cheti rasmi, ilimradi analeta matokeo na havunji sheria.
Private sector wanaangalia:
3.2 ATS Inaweza Kukutoa Mapema
CV ikiwa na:
Mfumo unaweza kuikataa kabla haijafika kwa HR.
CV ya private inahitaji:
Ukweli ni huu:
Mkakati wako wa maombi hauko sahihi.
5. Ushauri Kwa Wanaotafuta Kazi Private Sector
Usiishie kutuma CV kwa email tu.
Wakati mwingine:
Tafuta nafasi ya kukutana na wahusika wa kampuni.
Waambie umevutiwa na kazi zao.
Eleza namna ungependa kuwa sehemu ya timu yao.
Uliza kama kuna nafasi au internship.
Acha CV yako kwa muhusika sahihi.
Usisambaze CV kwa kuiacha kwa walinzi au watu wasiohusika, zungumza na watu kutengeza personal Connection.
Jifunze kutengeneza mwanya wa kuwasiliana na decision maker.
6. Hitimisho
Serikali wanataka:
Standard Government CV
Compliance
Verification
Private sector wanataka:
ATS-friendly CV
Matokeo
ROI
Badili mtazamo wako unapoitafuta fursa.
7. Wasiliana Nami
Kama unahitaji:
📞 Call / WhatsApp: +255 778629622
Email: careermasteryhuborg@gmail.com
Wakati mwingine si sifa zako zina shida — ni namna unavyoziwasilisha.
Chukua hatua leo.

- Kila upande una:
- Mfumo wake
- Vigezo vyake

- Uwezo
- Matokeo
- Thamani (ROI)
3.2 ATS Inaweza Kukutoa Mapema
CV ikiwa na:
- Majedwali mengi
- Rangi nyingi
- Font zisizoeleweka
- Design nzito
Mfumo unaweza kuikataa kabla haijafika kwa HR.
CV ya private inahitaji:
- Muundo rahisi
- Keywords kama:
- Mafanikio
- Achievements
- Results-driven
- Ilingane na tangazo la kazi
- Serikali inakukataa kwa sababu hujafuata muundo rasmi.
- Private inakukataa kwa sababu CV si ATS-friendly.
- Halafu unaanza kusema huna bahati.
Ukweli ni huu:
Mkakati wako wa maombi hauko sahihi.
5. Ushauri Kwa Wanaotafuta Kazi Private Sector
Usiishie kutuma CV kwa email tu.
Wakati mwingine:
Tafuta nafasi ya kukutana na wahusika wa kampuni.
Waambie umevutiwa na kazi zao.
Eleza namna ungependa kuwa sehemu ya timu yao.
Uliza kama kuna nafasi au internship.
Acha CV yako kwa muhusika sahihi.
Usisambaze CV kwa kuiacha kwa walinzi au watu wasiohusika, zungumza na watu kutengeza personal Connection.
Jifunze kutengeneza mwanya wa kuwasiliana na decision maker.
6. Hitimisho
Serikali wanataka:
Standard Government CV
Compliance
Verification
Private sector wanataka:
ATS-friendly CV
Matokeo
ROI
Badili mtazamo wako unapoitafuta fursa.
7. Wasiliana Nami
Kama unahitaji:
- Government Standard CV
- ATS-Friendly CV
- CV Review & Optimization
- Mwongozo wa kujiandaa kwa ajira