sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 18,986
- 42,631
Hahaaaaa ila bora uliamua kukaa pembeni
Kweli mkuu. Kama tu hajakuzid elimu, umri,pesa, bado unahitaji akili nyingi kwenda nae sawa...wat if kakuzidi hayo pia
Hahaaaaa ila bora uliamua kukaa pembeni
Kweli mkuu. Kama tu hajakuzid elimu, umri,pesa, bado unahitaji akili nyingi kwenda nae sawa...wat if kakuzidi hayo pia
.......swahibaa!!!
Kweli mkuu. Kama tu hajakuzid elimu, umri,pesa, bado unahitaji akili nyingi kwenda nae sawa...wat if kakuzidi hayo pia
Mkuu sijakuelewa sana inaweza kuwa kweli ila sio kwa wote, kuna wengine wako very strong sana.Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....
mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....
Kila kitu kinafanyika kichwani...it's like the right key for the right door!
Ukishaujua ufunguo na ukawa nao mkononi utashindwaje kuingia ndani?
Mkuu sijakuelewa sana inaweza kuwa kweli ila sio kwa wote, kuna wengine wako very strong sana.
Kwa dunia ya leo tunahitaji wanawake strong ambao wanaweza kukabiliana na wanaume wakorofi wanaoishi karne ya 17
mmmmmhhhhh chai
Easy huyo mnunulie mauwa mpelekee, first time yako, na kimeseji kadogo na number
Hivi unaweza kupewa kwa kumpelekea mwanamke wa kibongo burungutu la maua?
May be naogelea katika bahari ya mwaka 1947... ambayo tulikuwa tupeana hata ubuyu!
No matter mwanamke yukoje either kwa uzuri au kwa utajiri na cheo, ukimuendea kwa kujiamini huwa ni wepesi sana, pesa na uzuri hazibadili chochote kwa mwanamke!
Mm najiamini sana, hii ni tangu nikiwa mdogo, huwa sina uoga, kuthibitisha hilo nikiwa form 1 nimewahi kumtongoza second master ambae alikuwa anaogopwa hata na baadhi ya walimu wenzake kwa ukali na uzuri wake....alinizungusha sana hadi kufikia form2 nikakabidhiwa mzigo rasmi!
Kwa taarifa yako Wanawake wanapenda sana mwanaume anaejiamini#???
Unamuita pembeni unamnong'oneza nakupenda lakini usiniumbue ukiona amekasirika kimbia sio pazur hpo
Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....
mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....
Unamuambia tu mi hali yangu nadhani unaiona, kwa hiyo nakusikiliza wewe..
Kwakweli hili tukio la kihistoria. Yani hapa Simba anaomba ushauri wa uwindaji kwa fisi......Bado hujapata jibu mkuu au umeenda kwenye mafunzo kwa vitenndo?
Hivi umemwita mzee mwenzangu Asprin ashuhudie hili tukio ambalo lina mvuto wa aina yake?
Mkuu nimepitia moja baada ya nyingine nataka nijianda kwenda Dodoma maana mhusika yupo mjengoni ila anatembea na mabodigadi sasa sijui itakuwaje anyway hivohivo! Asprin kakaa hata kunipa mauzoefu yake kimya mtu huyu ni wa hovyo!