Unatongoza mara ngapi kwa siku?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but changamoto inakuja kwenye kufanywa ATM mwe!!
toa uzoefu wako we unatongoza wangapi kwa siku?
 
Kwani kuna idadi rasmi ya kutongoza kwa siku siku hazifanani kuna siku unaweza kutongoza watano na kuna siku unaweza usitongoze hata mmoja
 
Changamoto hawa dada wengine wana midomo michafu japo tunakomeshana tu
 
KAMA HUNA HELAAA HATA YA KUHONGA CHIPS NA NAULI HUWEZI FANYA HUO UPUUZI...!!
Mtongozaji ni km mlevi tu,anaweza asiwe hata na mia mfukoni ila akienda bar analewa km kawaida,hpo ndo utakapojiuliza kuna tofauti gani kati ya Mandanda wa Ufaransa na Mandanda wa NachingweaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huo muda wa kufanya hayo yote unautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…