Unatokea mkoa gani?

Dah mkuu kwa matokeo haya ni busara kuficha unapotokea sometymz maana kuna maeneo km kanda ya kat utaelewa kwa nn hospital ya Mirembe imejengwa huku.
 
Naona watu wanakwepa kanda ya kati , Kwenu ni kwenu tu karibuni Mtori na Kisusio December.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…