Unatoa wapi jeuri ya kulewa katikati ya wiki?

Usiige watu fuata msimamo wako kuna watu hawawezi kufanya shughuli zao mpaka wanywe pombe na mambo yanaenda.
 
Ukiifata JF utapotea humu Kila mtu tajiri , wamejiajiri Wana makampuni [emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kuona mtu analia njaa humu
 
Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Vp unaeishabikia ccm utaingia mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…