Unatoa wapi jeuri ya kulewa katikati ya wiki?

Na kuna wengine ma dili ya hela tunayapatia baa wakati na siku yoyote, usidhani kila mtu anasubiri kwenda kutega mkono dirishani kila mwisho wa mwezi, tukiwaambia mjiajiri mnatuona sisi ma pimbi unaona jinsi mnavyoshindwa kutumia hela zenu kisa kuwaogopa waliowaoa
 
Kunywa pombe sio vbaya Ila matokeo baada ya kunywa ndo vbya
 
Mwingine hata akiwa bar yuko kazini, na pesa inaingia
 
Hao walevi ndio wamechangia kissi kikubwa kuingia uchumi wa kati halafu unawasema hivi wakiamua kugoma wiki koja utapata hata mshahara
 
Niliwahi kunywa pombe leo halafu kesho yake nina UE!Asubuhi nilienda kuhonga kwa daktari akanilaza!Ilinicost kurudi chuo kufanya special exams!!
Pombe nyoko sana ila mpaka leo napiga!
 
Mkiambiwa mjiajiri mnaona watu waabwabwaja..

Pole mkuu una ratba ngumu sana yani ijumaa na jmoc tu dah!

hata maza ntilie tu ana uwezo wa kukubadilishia hiyo timetable,simple.
Kwahyo ukijiajiri ndio utakuwa unasimamia kazi zako bila kujali muda. Watu waliojiajiri ambao hawahitaji ukaribu mkubwa wa biashara yake ni wachache sana. Hebu fikiria mtu anafungua duka saa moja kamili asubuh anatoka saa mbili usiku siku saba za wiki sasa naye huyo anauhuru wa muda?
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Yaani kuajiriwa humu JF ni kama dhambi vile, na nani aliyewadanganya kuwa waliojiajiri wana muda wa kupoteza?
 
Unajua mada inaongelea nini?

na unajua jibu lako umejibu nini?
 
Niliwahi kunywa pombe leo halafu kesho yake nina UE!Asubuhi nilienda kuhonga kwa daktari akanilaza!Ilinicost kurudi chuo kufanya special exams!!
Pombe nyoko sana ila mpaka leo napiga!
Kutokukitambua..tu
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Yaani kuajiriwa humu JF ni kama dhambi vile, na nani aliyewadanganya kuwa waliojiajiri wana muda wa kupoteza?
Inavyoonekana waliojiajiri wao wana muda zaidi wakulewa kila siku...TENA wanahela sana.

Kazi.kweli.kweli
 
Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
kama unasoma biblia muujiza wa kwanza wa yesu alifanya nini pale kwenye sherehe kana
 
Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Duh aisee nilikuwa sijui na vp kura tunda kimasiara nayo dhambi au sio dhambi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tena huku mtaani ndo usiseme..vijana wanakunywa Cuca asubuhi na mapema yaani sa.mbili yupo kwa Mangi anakunywa... Tena wanawapimia na vya miatano miatano.AISEE inasikitosha
 
Mkiambiwa mjiajiri mnaona watu waabwabwaja..

Pole mkuu una ratba ngumu sana yani ijumaa na jmoc tu dah!

hata maza ntilie tu ana uwezo wa kukubadilishia hiyo timetable,simple.
Alafu analalama kuhusu hangover sijui anakunywaga pombe gani
 
alafu wengine wako likizo
 
Mimi nakunywa kila siku na siharibu kazi hata mara moja,mbaya Ni ile kumkuta mtu asubui yuko vyombo au mchana wa saa7 mtu Kama huyo huwa simpi nafasi hata ya salamu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…