Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Toa andiko linalokataza pombe acha porojo za jumapili.Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
🤣🤣 Ati walivyo wabishi Sasa..😂😂Ngoja wanywa pombe waje utakoma na walivyo wabishi sasa!
Walokole mki nogewa mnaanza kutunga mashairi yenuUwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Mungu jalia huyu jane lowasa awe mzuri kama Avatar yake.Nitauza majahazi yote niliyonayo ili nimpateMbinguni ndiyo sehemu ambayo Mungu amewaandalia wanadamu baada ya maisha haya. Jehanum imeandaliwa kwa ajili ya shetani na malaika wengine wa giza (wale walioasi). So, kwenda mbinguni ni matakwa ya Mungu mwenyewe
Ahsante.. Sina usemi zaidi ya kukuhamu Sana..😉Basi wewe ni good boy wanywa pombe huwa siwaelewi kabisa.
Hata wewe hutaingia huko mbinguni....kasome kitabu chako cha imani vizuri ujue kama kinasema sababu ya kuingia huko ni kutokunywa pombe.Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Haya usiku mwema.Ahsante.. Sina usemi zaidi ya kukuhamu Sana..[emoji6]
[emoji3][emoji3][emoji3]Hata wewe hutaingia huko mbinguni....kasome kitabu chako cha imani vizuri ujue kama kinasema sababu ya kuingia huko ni kutokunywa pombe.