unataka utoke wkend na mpoleeee?

naona membaz wesha ni link na kidume teh teh teh! Jiandkishe uje uhakkshe.
 

kama ile thread ya bishanga ya kumzalisha mke wa mtu ilikuwa ni crap tupu. Waliochangia karibia wote hawakumwaga povu na kuna wengine walikuwa wanachungulia tu hawacomment. Najaribu kupeleleza kwanini wanawake wakianzisha mambo ya mzaha wanashambuliwa sana badala ya kueleweshwa kiustaarabu kama wamekosea.
 



ikiwa ni ke wanaanza uzush kua ni me. Ajab badala ya wadada kunipa sapot hao ndio wa kwanza kuja kutapika! Wape vidonge vyao shost
 
hahahahahah i'm expressing my feelings ... sometime history can change ..
Do you believe in second chance?...

I do,but am not that flexible nowadays...utu uzima huu dearest....lol...waiting!
 
kasome upya utagundua wamenivunjia mahsiano ya miaka 5 sas nimeamua kula maisha kwenda mble haina maana kuwekeza mahsiano wkt yanavunjika aaarrrgh! Alaf mm c mtoto nishakomaa
mmh!!!:A S-confused1:
 
Mpole umekaa karibu na Rose 1980 nini? maana mwandiko wako unafanana na wa kipenzi Rose.
haya ngoja wababa wajinadi ujichagulie mwaya maana ukikaa kimya mwisho utadoda. Raha jipe mwenyewe shost.
 
kaaaaah!!!mi suraa kavuuu....nilikuwagaa jambaziii,nakunywaa gongooo,navutaaa sigara pakti 2 kwa siku,napendaa viwanjaa kama mrinaa,shevazi,picknic,matakoo bar,arusha rahaa,marafiki zangu wengi niwa ungalimited,sanawarii,miazini,tegeru,nakama tu ki du ni mara mojaaa sirudi tenaaa...uko tayari mpoleee
 

Umeona eeh!
Tena sadly wanashambuliwa na wanawake wenzao zaidi. Yaani ni kama tunaimpose morality kwa wanawake while kwa wanaume twawaacha. Sipendi msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke kwani tunaaminishwa hivyo at the end of the day twauishi huo msemo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…