Mtu kuwa maskini ina sababu nyingi Sana, mojawapo ni kuishi kwenye comfort zone... Miongoni mwa vitu vinavyoleta mafanikio ni kutokuridhika, lazima ujue unajua nini?, Uko vizuri kwenye nini?, watu wanahitaji nini? na mwisho je utalipwa nini?...Very sentiment, comfort zone imekuwa kama kimbilio rahis la maelezo ya wengi kati yetu kuchambua sababu za mtu kuwa maskini. Lakini comfort na relaxation havin maana sawa
Mzee ulivyohamia Zenji, gharama za maisha zimeongezeka au kupungua, au mashiko ndio yameongezeka kukabiliana na gharama ?Very sentiment, comfort zone imekuwa kama kimbilio rahis la maelezo ya wengi kati yetu kuchambua sababu za mtu kuwa maskini. Lakini comfort na relaxation havin maana sawa
Unauelewa vizur umaskin unavyofanya kaz mkuu au umezaliwa katika familia za Tabaka la kati? Mzazi mmoja muajiriwaMtu kuwa maskini ina sababu nyingi Sana, mojawapo ni kuishi kwenye comfort zone... Miongoni mwa vitu vinavyoleta mafanikio ni kutokuridhika, lazima ujue unajua nini?, Uko vizuri kwenye nini?, watu wanahitaji nini? na mwisho je utalipwa nini?...
Zanzibar njema, vijan katika miakan25 tu washajenga. Wazee wa miaka 34 bongo wanasaka ajira za kulipa kodi ya chumba na kuchumbagila kuongeza vipato vya masimango mwisho wa mwezi.Mzee ulivyohamia Zenji, gharama za maisha zimeongezeka au kupungua, au mashiko ndio yameongezeka kukabiliana na gharama ?
Nimetoka familia ya kawaida Sana, najua nilipotoka...Mambo ya mafanikio ni mchakato mrefu Sana, kwenye huo mchakato unahitaji kuelewa vitu vingi Sana...sio kwamba vijana hawafanyi kazi Bali Wana vingi hawavijui.Unauelewa vizur umaskin unavyofanya kaz mkuu au umezaliwa katika familia za Tabaka la kati? Mzazi mmoja muajiriwa
Share here! May be wakapat cha kupata. Kuna hqbar niliwh kuambiw kuwa kuna rais mmoja wapo hapa zanzibar aliwah kwenda usiku kwenye kaburi moja kati ya yale yanalolindwa hapa zanzibar.Nimetoka familia ya kawaida Sana, najua nilipotoka...Mambo ya mafanikio ni mchakato mrefu Sana, kwenye huo mchakato unahitaji kuelewa vitu vingi Sana...sio kwamba vijana hawafanyi kazi Bali Wana vingi hawavijui.
Hivi kuna ambaye hataki mafanikio?Imekuwaje kwani?