Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Habari ya jumapili wakuu!!!!


I’m on my way to becoming millionaire.

You don’t have to trust me.

I trust myself.

And that’s enough.

Najua wapo watu wengi tu wanapenda kuwa free Financially kama mimi. Lakini only few will commit themselves to the goal.

Na sababu inajulikana tu.

Most people are lazy as f*c.

Wanapenda tu idea ya kuwa rich. Lakini hawana “stamina” yakufika pale.

Binafsi nikiamka asubuhi nikiwazia vile watu masikini wanavyoishi vibaya nasema the only way to help poor people is not becoming one of them.

Hakuna kitu kibaya kwenye hii life unaamka asubuhi hauna hata Tsh 100,000 mfukoni.

Seriously?

How are you going to pay your bills?

Utawezaje kuhudumia watoto wako na watu wote unaosema unawapenda?

Vipi kuhusu kwenda hata vacation kidogo hii december?

Binafsi hii december nitakuwa Magoroto forest Tanga. I need to go there and see what Magoroto can offer.

Im going to use this opportunity to take photos and videos and use them to build business in future. Don’t ask how.

Ok tuendelee...

Na unakuta wengi tu wanaopitia hii hali Yakima “broke financially” si tu wale wasio na kazi yoyote bali hata walioajiriwa na wanalipwa vizuri tu.

Kama nawaona vile waajiriwa mnavyo guna

Alright.

Sasa nataka nikuonyeshe 5 reasons kwanini kamwe kamwe hutoweza Kutengeneza pesa zako kwenyewe na kuwa boss.

1 • Hauelewi Pesa inavyofanya kazi.

Hapa siongelei kufahamu kuhesabu pesa. Accounts wanahesabu pesa kila siku yakini ni masikini tu.

Pesa ni kitu cha ajabu sana.

Inaenda kwa wale tu wanaoielewa. Na wala haichagui wewe ni mweusi, mweupe, mwanaume au mwanamke.

Nimeona watu wengi wanalipwa pesa nyingi tu lakini kila ikifika nusu ya mwezi they broke as f*c. Wanalipwa vizuri lakini for some reason they don’t know how to keep it.

Ukichunguza sababu ya hii ni kwamba wanatumia pesa nyingi kwenye vitu visivyonamaana kwasababu wanaona aaah mwisho wa mwezi nitalipwa mshahara bwana.

Hii mindset ni moja kati ya mindset mbaya kabisa.

Binafsi sijawahi ajiriwa sehemu yoyote.

I’m trouble maker.

I’m misfit.

Siwezi kabisa nikakaa ofisini nikisikiliza office politics (umbeya) kama inavyokuwa kwenye office nyingi za watu walioajiriwa.

Ok, sasa kwasababu ya mindset hii watu wengi walioajiriwa wanatumia pesa nyingi kwenye vitu visivyona maana sana.

HD TV ya Tsh 1.4

Laptop ya bei kubwa lakini haimwingizii hata kumi.

Kuwahonga wanawake kwasababu unaitwa mtanashati.

Yes, ukiangalia hapa vitu vingi ni liability tu. Mwisho wa siku haviongezi chochote zaidi yakukuchomolea pesa.

2 • Hujui kuanzisha biashara. Yani unaanza ukiwa umeshakosea tayari.

Ok.

Najua watu wengi wanapenda sana kuwa wafanyabiashara.

Lakini niseme tu kwa uzoefu wangu wakuongea na kusaidia small business kuanza vizuri (online presence) nisema tu biashara nyingi watu wanazoanzisha zimeshakosewa tayari.

Na kwasababu hawaelewi basi wanaendelea hivyo hivyo tu.

Nafahamu small business nyingi tu zenye miezi mingi lakini hawapati hata wateja wawili.

Why that?

Well, jibu ni rahisi.

Hawa waanzilishi walianzisha business wakidhani ukiwa unauza au kutoa huduma hasi customers watakuja tu.

Let me tell you.

Kuanzisha Business kwa namna hii ni moja kati ya dumb things you would ever do as entrepreneur.

Kamwe usinaze biashara yoyote kwa kutengeneza bidhaa au service bila kufahamu kwanza wateja wako ni akina nani?

Tena Hapa namaanisha hawa wateja wameshaonyesha interest yakununua huduma au product yako hata kabla hujatengeneza.

Najua inaweza ikaonekana haieleweki lakini hii sehemu ni mtego mkubwa watu wengi wanaoanzisha Business mpya wananasa. Wengi wanapoteza pesa na mwisho wanakimbia.

Nimeona watu wengi wanahangaika kutengeneza websites, wanakodi hadi office, wengine wanashona hadi uniform kabisa lakini mwisho wa siku no one is coming to buy from them.

Do you relate? Contact me if you need some help.

3 • Idea yakutegemea source moja ya income is killing you. You need to start side hustle RIGHT NOW.

I know.

Watu wengi hapa JF wana Only one source of income.

Binafsi ninazo nne.

• UpWork Freelancer

• AirBnB (I run three properties. 3 in Arusha one in Mto wa Mbu)

• Nasaidia watu kuanza online business

• Local tour guide (i run this business in partnership)

Well, hapa Point ni kwamba ukiwa na more than one source of income ni rahisi kuwa stable financially.

Sasa unakuta mtu yeye anategemea tu mshahara wake mmoja. Hata kama ni mkubwa kiasi gani siku mambo yakiyumba hapo job itakuwaje?

Ever think about that?

Hapa nikusaidie tu.

Sasa hivi opportunity kama Freelance (kufanya kazi Online kwenye site kama vile UpWork) itakusaidia sana kwasababu tayari upo na uelewa na Skills uliyonayo kwahiyo ni rahisi tu ukiwa na right Information wakati unaanza.

Kwa wanasoma thread zangu wanafahamu I have written posts zadhaa kuhusu Online freelancing. You can go and check them.

4 • Hujui Kuuza na kushawishi.

Let me tell you one thing.

Every rich person is seller.

Sasa kwasababu watu wengi they scared to death linapokuja swala la kuuza basi kamwe hawapaweza kupata pesa.

Unajua ukikaa hapo ofisini mwisho wa mwezi unalipwa mshahara kamwe hutoelewa what it takes to persuade customers to buy.

Na ukitaka kufahamu watuTz wengi hawana skill yakuuza muulize jirani yako hapo.

I know so many people with such great talents but never make a cent out of their talents and skills because they suck in sales.

Na sababu hii itakuzuia maisha yako yote hutoweza kutengeneza pesa.

5 • You are too lazy to learn new skill.

Ngoja nikwambie kitu.

Money is attracted to VALUE.

Sasa kama wewe huna skilll yoyote kwenye hii dunia basi kupali tu kuwa poorman.

Watu hawatakupa pesa kwasababu wanakuonea huruma.

Kwanza no one cares about you.

People care only about themselves.

People are selfish in nature.

Sasa kama wewe huna skills zakutatua matatizo yao na wewe kulipwa pesa basi nikwambie utakuwa mtu wakutaabika kila siku unti you die.

Usiogope kujifunza skill mpya.

You can start RIGHT NOW.

Baadhi ya skills zinachukua siku chache tu kujifunza. Acha uvivu anza mara moja.
 
tell me more about your progra
m ' oneline bizness ni short au long or inachukua mda gani

Mkuu haujaeleweka.

Kuhusu Online Business niseme tu leo Dec 15, 2019 ninaendesha Online Master Class kuhusu kufanya kazi UpWork.com

Hili darasa ni FREE.

Na linafanyikia Online katika App ya Zoom.

Kama unataka kushiriki nitumie Email yako and I will send you a link to join the Master Class.
 
Why talking about millionaire and billionaire if it's not your ambition..

...because ambition alone won’t get you to millionaire/billionaire status.

You need to be more than that.

You need to be a person of VALUE.

Customers won’t buy from you because you are ambitious. They buy because you sell them solutions to their problems.

The more value/solution you create the more money you generate.

Ok.

Now get out of here. Nenda kafanye kazi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Matunda ya kusoma sana self help books,kusikiliza motivational speakers kwa wingi ndio haya sasa.

Story nyingi za kuvutia vutia lkn mfukoni bila bila.

Ila wakijileta we kula vichwa tu bila shida.

Stop being a hater you dumb.

People are attracted to VALUE.

Do you know why you come on here and leave your negative comment?

I know you have no idea, because you don’t even understand yourself.

The answer is, you are SCARED of me.

You see?

Now get out of here. Go and hung yourself in shame.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom