UNATAKA MIPESA ? kuwa PUNGA baab!!!!

UNATAKA MIPESA ? kuwa PUNGA baab!!!!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?

wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...
 
madini mnayo na mashamba ...kwa nn msiyatumie? baci si akili zenu hazifanyi kazi ..toeni masaburi sasa
 
hahahaaa! Bora kufa masikini kuliko masaburi yangu yatumike.
hapa logic ni kuwa kwa vile hamuwezi kutumia rasilimali zenu wenyewe basi inabid muuze masaburi yenu yatumike ili mpate misaada
 
Hivi connection ya ushoga na misaada inatoka wapi? au huko kwao kodi zao ndo inakopatikana hiyo misaada mnayopewa hivyo lazima muukubali ushoga?
 
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?

Viongozi wa afrika wavivu kutumia rasimali zilizopo ngoja washikwe masabuli sasa ndo watie akili
 
Hivi connection ya ushoga na misaada inatoka wapi? au huko kwao kodi zao ndo inakopatikana hiyo misaada mnayopewa hivyo lazima muukubali ushoga?
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...
 
akufukuzaye hakuambii toka,wazungu washatuchoka kwa upumbavu wetu. Nalog off
 
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...

haswaaa.. Hii ndo maana yao
 
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?

wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...

na suti za bure
 
YALAAAAa!! YARABI TOBA ...MKATAEEEEE!!!!!...kamwe hatuwezi kubadili maadili yetu kwa ajili ya pound chache ...waache wakae na pound zao...
 
Back
Top Bottom