Unataka kumuacha mke mkorofi? Fanya hivi

umeongea mwanzo vizuri,mwisho apo ulipo sema alternative
 
Nilidhan ningekuta "chukua habat soda, mdalasin na asali, changanya na unywe".
 
toa na somo la jinsi ya kuachana na mume mwnye gubu..mbna hizi thread za kuacha wake zimekua nyngi? hivi ninyi ni malaika au huwa hamkosei?
 

Kuishi na mke mkorofi Ni sawa na kuishi na nyoka,muhimu kuijua tabia ya mama mkwe kabla ya kuoa,mke mkorofi Kuna chance ya kuzaa kizazi cha watoto wakorofi
 

Kisaikolojia wanasema mwanamke akipenda sana kupitiliza hugeuka mkorofi na Mkali sana kwa mwanaume wake ?????

Je upo tiyali kuachana na mtu akupendaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…